MHADHIRI WA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM AUAWA KWA KUPIGWA RISASI

 
Patrick Rweyongeza, Mhadhiri (College of Engeneering) UDSM, ameuawa jana kwa kupigwa na risasi.

Tukio limetokea majira ya mchana maeneo Magomeni TANESCO wakati marehemu akielekea mjini ambapo watu waliokuwa wamepakizana kwa pikpiki kumfuata na kumfyatulia risasi kisha kutokomea.


Haijafahamika kama kuna uporaji uliofanyika au la.


Source:
Matukio-Wapo radio.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo