Basi la kampuni ya Japanese linalofanya safari zake kati ya Ikonda Njombe Makambako kama lilivyonaswa na kamera yetu eneo la Ikonda hii leo, muonekano wa basi hili umeonekana kuwa kivutio kwa abiria wengi kutokana na kuzoea kampuni hii kuwa na vibasi vidogo, lakini kwa kuleta hili kumeonekana kuwavutia wateja hao
Kwa taarifa ambazo si rasmi kwa 100% yanakuja mabasi kama haya kwa ajili ya safari za Mbeya Makete Ikonda
Hongera mdau Japanese kwa kazi nzuri, leta mengi zaidi ya haya