Afisa mtendaji kata ya Tandala Ambene Sanga akijibu maswali ya wananchi waliyoyauliza kwenye mkutano huo uliofanyika katani hapo
Wananchi wakimsikiliza mwenzao akitoa maoni yake (hayupo pichani)
Mwanamama akichangia kuhusu wanawake kwenda vilabuni ama bar na watoto wadogo
Afisa mtendaji kata ya tandala Ambene Sanga akisoma taarifa ya mapato na matumizi
Wananchi wakinyoosha mikono kukubaliana na hoja ya fedha za serikali zilizotumiwa na CCM zirudishwe serikalini haraka
Mkutano ukiendelea