skip to main |
skip to sidebar
MAGUNIA 64 YA MAHINDI YA MSAADA YAIBIWA KWIMBA MKOANI MWANZA

Magunia
64 ya mahindi, yakiwa ni sehemu ya tani 646 zilizotolewa na ofisi ya
waziri mkuu kwa ajili ya wananchi wa wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza
wanaokabiliwa na njaa, yameibiwa na baadhi ya watendaji wa kata za
Shilembo na Bupamwa wilayani humo.
taarifa zaidi endelea kusoma blog hii
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi