skip to main |
skip to sidebar
KIMENUKA BUNGENI,MH.MWIGULU NCHEMBA AWALIPUA MBOWE NA DR.SLAA KWA MAUAJI
Ni
kiongozi jasiri,ni kiongozi mzalendo,nikijana shupavu,amejitolea
kuipigania Tanzania ya kweli,amejitolea kupambana na wahujumu wa nchi
popote pale Tanzania,Ni Mh.Mwigulu lameck Nchemba leo tena anafanya kile
CHADEMA wapata maumivu yasiyonakifani,Mwigulu nchemba amewalipua
kisawa sawa Vioongozi wa CHADEMA wa juu wakiongozwa na Freeman aikael
Mbowe na Dr.slaa kuhusika na umwagaji damu za Watanzania wasio na
hatia.
Ni siku leo asubuhi kwenye kipindi cha
Maswali na majibu,Mh.Mwigulu Nchemba akitoa swali la nyongeza anasema
"Ndani ya miaka miwili CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe na Dr.slaa
wamesababisha vifo Arusha,Ndago,Morogopro na Iringa.
Kwa mauaji haya
yaliyotokana na ukatili wao na kutojali maisha ya watu kwa viongozi
hawa wa CHADEMA.
Mbowe na Slaa wanastahili kuwa JELA na walistahili kuwa
jela siku nyingi".
Anasema Mbunge wa Iramba Magharibi.Baada ya kauli hiyo Ukumbi wa bunge unalindima kwa makofi mazito.Huku upande wa CHADEMA kila mmoja akiishia kukunja sura.
chanzo: jamii forum
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi