skip to main |
skip to sidebar
JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM LAENDESHA MSAKO MKALI NA KUFANIKIWA KUKAMATA WATUHUMIWA ZAIDI YA 196
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova
akionesha Bastola aina ya RAM P.9X19 zikiwa na risasi tatu (3) ndani ya
Magazine mbele ya waandishi waliokuwepo kwenye ukumbi wa Mikutano wa
Makao makuu ya Polisi Augost 7, 2013.jijini D ar es salaam,baada ya
kuendesha msako mkali na kufanikiwa kuzikamata pamoja na kukamatwa kwa
watuhumiwa 196 kwa makosa mbalimbali na kukamata magari saba(7)na Bajaji
moja ya miguu mitatu.
Baadhi ya waandishi wa habari walioudhuria kwenye mkutano huo le Augost 7, 2013makao makuu ya polisi jijini Dar es salaam.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi