Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za ubongo wa fuleva leo hii
ameweka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya.
Amethibitisha hayo katika post zake za instagram. Sisi hatuna maneno
mengi zaidi ya kusema angalia picha hizo na wote tuseme AMEN umechagua
njia njema.