FILAMU YA NAFSI YAINGIA SOKONI RASMI

nafsi
Filamu ya nafsi kutoka Swahilihood.

FILAMU iliyoandaliwa na mwigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka Swahilihood Mohamed Nurdin ‘Chekbud’ filamu yake ya Nafsi imeingia leo sokoni, na inapatikana katika maduka ya uuzaji wa filamu kwa nchi nzima chukua muda wako kanunue filamu hiyo upate burudani sambamba na elimu pia.

.

Mohamed Nurdin
Chekbud mtayarishaji wa filamu ya Nafsi.
Kulwa Kikumba
Dude muongozaji wa filamu ya Nafsi.
Nafsi
Filamu ya Nafsi .

credits: fc


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo