BREAKING NEWS: BAA YA SAMAKI SAMAKI MBEZI BEACH YATEKETEA KWA MOTO

Baa ya Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar ikiteketea kwa moto.
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba baa ya Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam imeungua kwa moto. 

Jitihada za kuzima moto huo zinaendelea kwa sasa na taarifa zaidi zitawajia hivi punde.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo