Askari wa usalama barabarani akichukua maelezo.
Asubuhi hii gari aina ya Toyota RAV 4 yenye namba za usajili T 682 AUC na Bajaj yenye namba za usajili T 403 CHM zimegongana kwenye barabara ya Shekilango eneo la Shule ya Mapambano ambapo hakuna mtu aliyeumia.