WAFANYAKAZI watatu wa benki ya
Standard Chartered wameshtakiwa mahakamani Nairobi kwa kosa la kuiba
Sh328 milioni kutoka kwa benki hiyo.
Betty Sande, Mike Oudo na Collins Omunga wanadaiwa kutekeleza wizi huo Julai 8, katika makao makuu ya benki hiyo.
Wamekanusha mashtaka na wakawekwa rumande hadi kesho Jumanne.