MSANII Mchekeshaji maarufu hapa nchini kutoka kundi la Ze Comedy kipindi kinachorushwa na runinga ya EATV Channel 5 ''Mtanga mtangalile'' Leo amefiwa na kaka yake kwa jina ''Azizi'' baba mmoja mama mmoja
Kwa mujibu wa mtu wa karibu habari NI kwamba alifariki kwa
ajali Jijini Dar Es Salaam, Habari zaidi kuhusiana msiba huo mtaendelea
kuzipata hapa hapa,
CHANZO:masainyotambofu.blogspot.com