WAZIRI MKUU MHE. PINDA AFUATANA NA MFALME MUSWATI WA SWAZILAND KATIKA KUFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA

IMG_0124
Waziri Mkuu , Mizengo  Pinda akimwongoza Mfalme Muswati  wa Swaziland kutembelea abanda ya maonyesho baada ya mfalme huyo kufungua maoinyesho ya kimataifa ya Biashara kwenye uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0139 IMG_0146
IMG_0167 
Mfalme Muswati wa Swazilanda (kulia) na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakitazama dawa za aina mbali mbali wakati walipotembelea banda la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya mfalme huyo kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo