TAZAMA RAIS OBAMA ALIVOTUA TANZANIA LEO

 
Rais wa 44 wa Marekanai, Barrack Obama kushoto ametua nchini Tanzania kwa mara ya kwanza muda huu kulia ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete 

Maelfu ya   watanzania  mchana  huu  wameungana na  Rais  Jakaya  Kikwete  katika mapokezi makubwa ya  Rais  wa marekani  Barack Obama  .

Rais Obama ambaye  ameongozana na familia  yake  leo ameshindwa  kujizuia  kucheza  ngoma  za asili katika  uwanja  wa kimataifa  wa mwalimu Julius Nyerere 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo