Habari
zenu kaka/dada/wadau wa muziki wa bongoflava. Napenda mimi Ney Lee
baada ya kutoa wimbo na video yangu ya Umekwenda, hii leo pia napenda
kuwajulisha nimetoa wimbo wangu mpya unaitwa "Nipe muda" produced by
Mswaki, imeandikwa na kuibwa na mimi mwenyewe. Kwenye email hii nimetuma
na attachment ya wimbo wenyewe na cover art yake. Asante kwa kusoma na
kusikiliza.