Rais
Barack Obama wa Marekani ameondoka nchini mchana huu,baada ya kumaliza
ziara yake ya siku mbili iliyoanza jana.Rais Obama na mwenyeji wake Rais
Jakaya Kikwete,leo walitembelea mitambo ya kuzalisha umeme ya Symbion
iliopo Ubungo jijini Dar es Salaam na kuzindua rasmi mradi huo.
EACOP YACHOCHEA AJIRA,UCHUMI NA MAENDELEO TANGA
4 hours ago

