Kijana mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, 
amenusurika kifo kwa kupigwa kipigo cha maana, na wananchi wenye hasira 
baada ya kutuhimiwa kuiba kwenye nyumba moja ya mkazi wa eneo la Mbezi 
Darajani, Kawe, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, leo mchana. 
Pichani, wananchi wakimsulubu kwa bakora.
 Wakimsulubu kwa bakora
 Mwingine akabuka na tofali na kumwezeka nalo mtuhumiwa huyo kichwani
 Ikawa mshike mshike huku wakimvuta kumpeleka kituo cha polisi
 Huyu naye akaamua kucharaza teke la kimazoezi
 Hawa twende polisi...
Mtuhumiwa huyo akawa taaban na kuanguka, hatua iliyowafanya wananchi 
kutawanyika wakidhani wamemuua... kube walaa baadaye alinyanyuka 
taratibu na kuondoka zake. Imeyatarishwa na theNkoromo Blog






