skip to main |
skip to sidebar
MSIBA MKUBWA TENA TANZANIA, MCHEKESHAJI POSA AFARIKI DUNIA
TANZANIA COMEDIAN'S ASSOSIATION inasikitika kukuambia kuwa comedian mwenzetu Posa (PICHANI),amefariki dunia leo saa 3 asubui katika hospitali ya mwananyamala alipokuwa amelazwa.Taarifa zaidi za msiba utakapokuwepo tutaambiana ila watu bado tupo
hospitali tafadhali mjulishe na mwenzio.. R.I.P POSA
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi