James Kinyambe mchekeshaji mahiri Bongo.
MCHEKESHAJI anayetamba katika
tasnia ya filamu na vichekesho Bongo Mohamed Abdalah ‘Kinyambe’ amesema
kuwa hata siku moja hajawahi kufikiria kuishi Dar es Salaam pamoja na
watayarishaji wa filamu na vichekesho wakimlazimisha msanii huyo ahame
Jijini Mbeya na kuishi Dar es Salaam kwani huko ndio kwenye kazi nyingi,
lakini yeye anasema kwa sababu ana kitu pekee lazima waandaaji
wamfuate. .
“Sitaki kuishi Dar es Salaam kwa sababu naona kila msanii
akikubalika na kuwa nyota la... more »