Huyu ndiye malaika wa Mungu aliyetelekezwa maeneo ya bamaga nje ya chuo
cha ustawi wa jamii karibu na TBC hapa akiwa amebebwa na mmoja wa
mfanyakazi wa ITV baada ya wasamaria wema kumleta ITV,Anayeonekana kwa
nyuma ni mmoja wa vijana waliomuokota mtoto huyo
Hembu angalia jinsi katoto kalivyo kazuri kenyewe kanahisi kako na mama yake kumbe msamaria mwema.
Baadhi ya wafanyakazi wa ITV wakimshangaa mtoto aliyetupwa