MAMA AJIFUNGUA WATOTO WANNE KWA MPIGO MBARALI MBEYA

Na Saimeni Mgalula      

Mama Roida Mparagate (37) mkazi wa kijiji cha igawa kilichopo wilaya ya mbarali mkoani mbeya amejifungua watoto wanne juzi.

Akizugumza na mwandishi kwa njia ya simu mmoja wa mashuhuda,Batoni Mbuna alisema mtoto wa kwanza alijifungulia nyumbani mnamo saa 3 asubuhi na wengine watatu alijifungulia katika hospitali ya wilaya hiyo mnamo saa 3 usiku.

Mbuna alisema kwa bahati mbaya wototo hao wote walifariki usiku huo huo na mazishi yalifanyika jana mnamo saa 9 Alasiri.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo