BREAKING NEWS; MBUNGE JOSHUA NASSARI AKAMATWA NA POLISI


Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Nasari S. Joshua amekamatwa na Polisi.

Ni baada ya kupigiwa simu na Issaya Mngulu kuwa anahitajita Polisi na alipofika akaambiwa na RCO kuwa yuko 'under arrest' kwa tuhuma za kushambulia watu huko Monduli na hajaambiwa ni watu gani aliowashambulia...


Nawasilisha...

CHANZO; JAMII FORUM


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo