JAMANI FANYENI HARAKA OBAMA ANAKUJA TANZANIA

Mafundi wa DAWASCO wakizibua chemba ya maji taka iliyokuwa imeziba na kumwaga maji katika mzunguko wa Bandari Klabu jijini Dar es Salaam leo. Chemba hiyo ilikuwa ikitema maji hayo kwa siku kadhaa bila marekebisho.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo