skip to main |
skip to sidebar
BREAKING NEWS: NDEGE YAPATA AJALI WILAYANI LOLIONDO
Ndege inayosadikiwa kubeba ma-flying doctors imepata ajali Loliondo.
Mpaka sasa hakuna idadi kamili ya waliokuwa ndani ya ndege hiyo.
Kamanda
wa polisi Arusha amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
SOURCE: ITV
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi