'WAMACHINGA"WA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM WALIPOFANYA USAFI



 
Kuanzia sasa wamachinga na wafanya biashara wote wa maeneo ya Mwenge watakuwa wanafanya usafi katika maeneo ya karibu na kituo cha daladala mwenge kila siku ya Jumamosi na kuwa hakuna mtu ataruhusiwa kutupa takataka hovyo katika viunga vya Mwenge.
 
 Hii ni changamoto kwa serikli ya hapa kuhakikisha kuwa ari hii inaendelea na kujifunza kuwa sio kila wakati wamachinga ni wafanya fujo. Ni watu wastaarabu na wanaweza kufanya mambo makubwa kama wakiunganisha kwa kuhamasishwa. 
 
Tahadhari kwa wapitaji wa Maeneo ya Mwenge "USITUPE TAKATAKA HOVYO KATIKA ENEO HILI MAANA UKINASWA NA POLISI WA MAZINGIRA UTAWAJIBISHWA.
Chanzo: goldentzblog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo