Huu ni ukarabati wa barabara ya Makete Isapulano ukiendelea kwa kasi kama ulivyonaswa na kamera ya blog hii, zoezi la kushindilia linaendelea
Kwa mbali unaonekana mtambo wa kushindilia ukiwa kazini kama kawaida
barabara ni mkeka mwanzo mwisho
Boza kwa ajili ya kumwagilia maji likiwa kazini kumwagilia maji kwenye barabara hiyo
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi