skip to main |
skip to sidebar
UJUMBE KUTOKA KWA LADY JAY DEE
Nawashukuru
wote kwa uvumilivu wenu, nawataarifu kuwa leo Tuna ionyesha kwa mara ya
kwanza Video ya YAHAYA kuanzia saa 3:00 usiku, pia kutakuwa na muziki
mzuri toka kwa DJ KIM, na bila kusahau tshirts za awamu ya pili za TEAM
ANACONDA zinapatikana Nyumbani Lounge kwa tshs..15,000/=
Ni Ijumaa ya leo tar 7 June 2013/ from 9PM
Pale pale Nyumbani Lounge
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi