MBUNGE wa Mbarali, Modestus Kilufi (CCM) amehukumiwa
kifungo cha miezi 10 baada ya kupatikana na hatia ya kutishia kuua,
Mbunge huyo (51) alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Oktoba 10
akidaiwa kutishia kumuua Ofisa Mtendaji wa Kata ya Ruiwa, Mbarali,
Jordan Masweve.