RAIS UHURU KENYATTA NDIYE RAIS WA KWANZA KENYA KUHUDHURIA GROOVE AWARDS

"RAIS UHURU KENYATTA NDIYE RAIS WA KWANZA KENYA KUHUDHURIA GROOVE AWARDS ZILIZOFANYIKA KICC NAIROBI NCHINI HUMO.

KATIKA TUZO HIZO ZA GROOVE MSANII GLORIAH MULIRO KAWA MSANII BORA WA KIKE WAKATI WILLY PAUL KAWA MSANII BORA WA KIUME WA MWAKA


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo