PICHA ZA VURUGU WAKATI WA KUUPELEKA MWILI WA NGWEA MUHIMBILI

Wananchi wamepora msalaba na kuzuia gari lililobeba mwili wa marehem


akiendelea kuongoza msafara kwenda muhimbili! Watu bado wanazuia gari kuondoka
https://pbs.twimg.com/media/BL60U_HCQAA6PC2.jpg:large
Wananchi wamelizunguka gari lililobeba mwili wa marehemu!!
Wananchi wanashusha wasanii kubeba msalaba 
Hali ndio kama hii barabani kwenye msafara uliopokea mwili wa marehemu

vurugu zimeanza baada ya polisi kutokea
Vurugu zimezidi!! P_Majani anasaidia kuongea na police


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo