NYATI AZAA MTOTO ANAEFANANA NA BINADAMU


Unbelievable+Human-like+Buffalo+BirthMaajabu ya dunia kwa kweli, Nchini Thailand, Nyati  amezaaa mtoto anayefanana sana na mwanadamu. Hizi ni picha ya nyati zikionyesha uso  na wa binadamu hasa yake ambayo ni sawa . 
 
Hata hivyo, mikono yake na miguu inafanana  zaidi na  nyati. Lakini kwa ujumla nyati anafanana sana na ng’ombe. Lakini sio kwa binadamu.
 
Kwa bahati mbaya kiumbe huyu alikufa muda mfupi baada ya kuzaliwa. Hli jambo limeleta gumzo na mtafarukiu mkubwa katiak kijiji hicho kuna imani kwamba tukio kama hilo linata baraka kwa watu wote wa sehemu tukio lilipotokea. kutokana na imani hii watu wengi wameonekana wakiomba na kusali ili wapate baraka. uso wa kiumbe  huyu huwezi kutofautisha ni binadamu au ni nyati alisikika mwanakijiji mmoja.

SOURCE: POSTGIVER


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo