
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye ,akiwa kwenye mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea wa kiti cha
udiwani cha kata ya Kimandolu,Arusha.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Kimandolu wakati wa kampeni za udiwani .
