MWILI WA MANGWEA WAFIKA SALAMA MUHIMBILI

Hapa ndipo ulipofikishwa mwili wa marehemu Albert Mangweha a.k.a Ngwair Muhimbili hospitali kwa ajili ya kuhifadhiwa hadi kesho kwa ajili ya kuagwa katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam ndipo asafirishwe kwenda Morogoro kwa ajili ya maziko...R.I.P Ngwair (Pic By Courtesy of Dj Choka)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo