Mwanamuziki wa Reggae nchini Jhikoman azifungua mtandao wake www.jhikoman.com mtandao ambao unaweza kusikiliza nyimbo na kusoma mambo mbali mbali ya Jhikoman and Afrikabisa band.
Wadau msikose kumpa shavu mtoto wenu Jhikoman Manyika at www.jhikoman.com au http://www.jhikoman.com