Leo ni siku ya kimataifa ya wakimbizi, siku hii imewekwa rasmi ili
kuheshimu ukakamavu, nguvu na uwamuzi wa wanawake, wanaume na watoto
ambao wamelazimika kutoroka makwao kutokana na vitisho vya mauaji,
migogoro na vita.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube