MSANII
wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Mwana FA anafikiria
kuahirisha shoo yake ya kesho kufuatia kifo cha msanii mwenzake wa
kizazi kipya Langa Kileo, kilichotokea hivi punde jijini Dar es Salaam.
Katika
taarifa yake aliyoitupia katika mtandao wa kijamii wa Facebook Mwana FA
alisema kwamba,
- 7 minutes ago via mobile · Like
Mwana FA Halisi : "Msiba wa mwana HIPHOP mwenzetu Langa unanifanya nifikirie kuahirisha show ya kesho. Nawasiliana na manager wangu kisha nitawajuza ,but si kwa kumuogopa mwanamke,Let it be clear" alisema Mwana FA.
