"Jioni hii umetokea mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono jijini Arusha
katika mkutano wa CHADEMA.
Damu imemwagika. Kwa mara nyingin tena
tunaona serikali ikishindwa kulinda wananchi wake ambao wanaamini ni
wakati wa fikra mbadala za uongozi wa Taifa ili kujiletea maendeleo na
kusimamia utu wao.
Nawaambia, umma utashinda. Tofauti ni kwamba fikra
hii mbadala itawahakikishia wao usalama katika mikusanyiko yao ya
kisiasa wakati watakapokuwa chama cha upinzani.
Siku hiyo inakuja.
People's Power!"
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi