HATIMAYE OMMY DIMPOZ AOMBA RADHI KWA KAULI YAKE ILIYOONESHA KUMTUSI MAREHEMU NGWEA


Baada ya kauli aliyoitoa msanii Ommy Dimpoz kueleweka vibaya kwa watu, na kuonekana amemkashifu marehemu Albert Mangwea, hatimaye msanii huyo ameamua kupiga magoti na kuomba radhi kwa kauli aliyoitoa.

Tazama mwenyewe ommy anavyoomba msamaha





JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo