DALADALA YATUMBUKIA MTARONI DAR

Daladala moja inayofanya safari zake za Gongo la Mboto na Masaki jijini Dar es Salaam, imetumbukia mtaroni asubuhi ya leo maeneo ya Magomeni Mikumi baada ya kutaka kulipita gari ndogo aina ya Noah na kusababisha kupoteza muelekeo na kuingia mtaroni lakini kwa bahati nzuri hakuna aliyepoteza maisha wote wamejeruhiwa hapo chini ni daladala hiyo pia askari akichukua maelezo kwa majeruhi:Picha kwa Hisani ya Mwanaharakati Blog

 wakazi wakiangalia ajali hiyo.
 Polisi wakizungumza na abiria na majeruhi.
 Askari wakilinda usalama
Kunguru wakibeba gari hilo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo