BASI LA TAQWA LAGONGWA UBAVUNI NA LORI MCHANA HUU MAENEO YA BUGURUNI ROZANA

basi moja la taqwa limegongwa na kuaharibiwa ubavuni baada ya kugongwa na lori la mizigo ambapo basi hili lilikuwa linakatisha kwenda gereji ya hapa buguruni rozana na yalikuwa yameongozana kwa kasi na basi jingine la kampuni hiyo
umati wa watu ukishuhudia ajali hiyo ya basi na lori la mizigo
huu ndio upande ulioharibiwa vibaya kwa kugongwa na lori la mizigo mchana huu
picha  zote na KRANTZ


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo