BOMU LALIPUKA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA, TAZAMA PICHA ENEO LA TUKIO


https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/1011826_540497909329899_1637583028_n.jpg 
Hii ni picha ya awali ya kilichotokea Arusha kwenye mkutano wa chadema Arusha baada ya kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu kulipuka na kujeruhi watu. 

HABARI ZAIDI KUTOKA KATIKA JIJI LA ARUSHA ZINASEMA BOMU HILO LIMELIPUKA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA  WA KUHITIMISHA  KAMPENI ZA UDIWANI  ULIKUWA  UNAENDELEA JIJINI ARUSHA,
 
MLIPUKO HUO AMBAO HAUKUJULINA CHANZO CHAKE KWA HARAKA LIMELIPUKA KUTOKA KUSIKO JULIKANA NA KIONGOZI MMOJA WA CHADEMA ANASEMEKANA KUUMIA VIBAYA  KATIKA TUKIO HILO.
HABARI ZAIDI FUATILIA HAPA HAPA


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo