Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizundua bohari ya madawa ya MSD mjini Dodoma Mei
5,2013.Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Seif RashidWatatu
kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Madawa (MSD), Cosmas Mwaifani.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe wakati alipozindua bohari ya kuhidi
madwa ya MSD, eneol la Kizota mjini Dodoma Mei 5,2013.Kulia ni Naibu
Waziri wa Afya, Dkt. Seif Rashid na Kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi
ya Wadhamini ya MSD, Malima Lubeleje.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa
Bohari ya Madawa (MSD), Cosmas Mwaifani (wapili kulia) wakati
alipozinduaghala la kuhifadhia madawa katika Kanda ya Kati la MSD mjini
Dodoma Mei 5, 2013. Katikati ni Naibu Waziri wa Afya, Dr. Seif Rashid.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akikagua madawa yaliyohifadhiwa kwenye boahari ya
MSD ya Kanda ya Kati eneo la Kizot mjini Dodoma baada ya kuzindua
bohari hiyo Mei 5,2013. Wapili Kulia ni Naibu Waziei wa Afya, Dkt.Seif
Rashid , Kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya MSD,
Malima Lubeleje na wapili kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa MSD, Cosmas
Mwaifani. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).