Jeneza lenye mwili wa Dk. Massau.
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (kulia) akitoa heshima zake.
Padri akisoma ibada katika hafla hiyo.
Umati wa watu uliofika kutoa heshima zao hospitalini hapo.
Mjane wa marehemu (wa tatu kulia) na mwanaye wa kiume wakishiriki kuuaga mwili wa marehemu Masaau.
Wasifu wa marehemu ukisomwa na Amon Mkangala.
Waombolezaji wakiingia kuuaga mwili wa marehemu.
ALIYEKUWA Mtaalam wa Magonjwa ya Moyo
katika Hospitali ya Tanzania Heart Institute, Dk. Ferdinand Massau,
aliyefariki katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam, tarehe 16
Alhamisi wiki hii kwa kupata mshituko, aliagwa leo asubuhi katika
hospitali hiyo na ndugu, jamaa na marafiki kabla ya kusafirishwa
kuelekea nyumbani kwake na hatimaye kwenda Ukerewe, mkoani kwa ajili ya
mazishi.
HABARI/PICHA: CHANDE ABDALLAH
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi