Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka
akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam
jana kuhusu Wiki ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii itakayofanyika mjini Dodoma
kuanzia Mei 13-18. Kushoto ni Mkuu wa Mahusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah
Kibonde na Mkaguzi Mkuu wa Ndani SSRA, Peter Mbelwa.
Mkuu
wa Mahusiano na Uhamasishaji wa SSRA, Sarah
Kibonde akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar
es Salaam leo kuhusu Wiki ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii itakayofanyika
mjini Dodoma kuanzia Mei 13-18. na Mkaguzi Mkuu wa Ndani SSRA. Kulia ni
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi
ya Jamii (SSRA), Irene Isaka na Mkaguzi Mkuu wa Ndani SSRA, Peter
Mbelwa.