Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali,
Rais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa,
Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kianana wakiungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi
ya Mzee Ally Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU, jana
katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. (PICHA NA IKULU)
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNI 3,2026
2 hours ago
