PICHA ZA MATUKIO YA VURUGU IRINGA HII LEO


 mbunge  wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwasili  eneo la vurugu kabla  ya kuanza kwa  vurugu  hizo
 Mbunge Msigwa akiondoka  eneo la mashine  tatu 
 Machinga  wakisukuma gari ya  mbunge Msigwa 
 Polisi  wakimfuatilia  mbunge Msigwa kwa  nyuma baada ya  kufika eneo hilo  bila kufanya biashara kama alivyoahidi
Polisi  wakianza  kufukuza  wananchi  eneo hilo(Picha na Francis Godwin)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo