MPAMBANO MKALI KATI YA MACHINGA NA POLISI IRINGA, TAZAMA PICHA

 Polisi  wakipita  eneo la Mashine  tatu asubuhi  hii
 Abiria  na  wapiga  debe  stendi kuu  wakinawa maji baada ya  kupigwa mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha  na askari  wa FFU leo
 Mmiliki  wa mtandao wa matukiodaima.com Francis Godwin(mzee wa matukio  daima) akinawa maji baada ya  kupigwa  bomu la machozi

 Hali  ikiendelea  kuwa  tete  kwa machinga  kufunga barabara  kuu  ya  Iringa  Dodoma na ile ya mashine  tatu
Ni Machafuko  Iringa  hivi  leo





JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo