PALIKUWA HAPATOSHI ELEMENTS KATIKA SHEREHE YA USIKU WA WAFANYAKAZI

Juu na chini  Mwanamziki maarufu wa mzuziki wa kizazi kipya kutoka nchini Kenya Jackson Makini, maarufu kama Prezzo katika akifungua kinywaji aina ya shampeni katika sherehe ya usiku wa wafanyakazi iliyodhamini na Vodacom Tanzania na kufanyika jijini Dar es Salaam.
 Champaigne popping
 Baadhi wa wafanyakazi wakifurahia pamoja katika sherehe za usiku wa wafanyakazi iliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika mgahawa wa Elements jijini dare s Salaam.
 .Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (Katikati) akimkaribisha Mwanamziki kutoka nchini Kenya, Jackson Makini, maarufu kama Prezzo katika sherehe ya usiku wa wafanyakazi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (Katikati) akizungumza na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ambwene Yesaya, (AY) katika sherehe ya usiku wa wafanyakazi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (Katikati) akifurahia jambo na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Ambwene Yesaya, (AY) katika sherehe ya usiku wa wafanyakazi iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Ni furaha mtindo mmoja
 Chiaaaaaaazzzzzz.....
 Wadau wakifurahia siku ya wafanyakazi
Stori kibao toka kwa Prezoo(PICHA NA ISSA MICHUZI BLOG)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo