NYUMBANI KWA MAREHEMU DK MASAU LEO

Pichani ni baadhi ya waombolezaji waliokutwa na mtandao huu nyumbani kwa marehemu Dk. Masau, Mbweni Kwajumbe, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam. Imeelezwa kuwa Dk. Masau anatarajiwa kuugwa kesho katika Hospitali ya Aghakan saa 5:00 asubuhi. Baada ya hapo mwili utarudishwa nyumbani kwake kabla ya kusafirishwa keshokutwa kwenda kwa maziko kijijini kwao Murutunguru, Wilaya ya Ukerewe.
baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani nyumbani kwa marehemu mapema leo
Mjane wa marehemu, Janeth kazara Masau (kulia), akifarijiwa na majirani zake nyumbani kwake leo.
...waombolezaji msabani leo.
 
Dr. Ferdnand Masau, enzi za uhai wake
 
Taasisi ya Moyo ya Tanzania ya Dr Masau
Marehemu Dk. Masau, ambaye alifariki dunia juzi May 16 majira ya asubuhi katika Hospitali ya Aga khan alikokuwa amelazwa kwa siku kadhaa, ameacha mke na watoto watano.

 Mungu alitoa na Mungu ametwaa, jina lake lihimidiwe. Rest In Peace Dk..Ameen!
PICHA: Makongoro Oging/GPL


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo