HILI NDILO KOMBE WALILOKABIDHIWA YANGA LEO


Wachezaji wa Yanga SC wakishangilia na kombe lao baada ya mechi dhidi ya Simba SC.

Timu ya Yanga leo imewaadhibu watani wao wa jadi, Simba SC baada ya kuwalaza kwa bao 2-0  katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 

Mabao ya Yanga yamefungwa na Didier Kavumbagu na Hamis Kiiza. 

Baada a mchezo huo, Yanga SC ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom mwaka huu, walikabidhiwa kombe lao.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo